Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na Ndugu Bibiana Joseph Kileo Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Alice Edward Mtulo Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na Ndugu Winfrida Beatrice Korosso Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania mara baada ya hafla fupi ya kuwaapisha iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024