Waziri Mkuu aongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Maafa ya Kitaifa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiiza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz akitoa maelezo mafupi kuhusu athari za Kimbunga Hidaya katika kikao cha kamati ya darura ya Maafa Kitaifa kilichofanyika kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2024. Kikao hicho kiliitishwa na Waziri Mkuu