Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)