Waziri Mkuu Majaliwa azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Masauni jijini Dodoma Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Mhandisi Hamadi Masauni, bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2024. Katikati ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Share this post: Share on X (Twitter) Share on Facebook Share on Pinterest Share on LinkedIn Share on E-mail Share on WhatsApp Post navigation AfDB President Calls for Media Transformation to Uplift Africa’s Global Narrative Waziri wa Ujenzi azikutanisha TEMESA na Azam Marine uboreshaji huduma za vivuko