Waziri Mkuu akabidhi nyumba kwa bibi Maligo Daimon jijini Mbeya

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati  Mkurugenzi wa Taasisi  Isiyo ya Kiserikali ya  Tulia  Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson alipokabidhi vyakula kwa Bibi Maligo Daimon baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi Bibi huyo Nyumba ya kuishi iliyojengwa na Taasisi hiyo katika mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)