Waziri Mkuu akagua basi aina ya Kayoola EVS lililotengenezwa nchini Uganda Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama basi aina ya KAYOOLA EVS lililotengenezwa nchini Uganda na kampuni ya Kiira Motors Corporation baada ya kufungua Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Uganda kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Mei 23, 2024. Kushoto ni Afisa kutoka serikali ya Uganda, Dkt. Monica Musenero. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Share this post: Share on X (Twitter) Share on Facebook Share on Pinterest Share on LinkedIn Share on E-mail Share on WhatsApp Post navigation AfDB at the 10th World Water Forum to showcase commitment to water access, sanitation in Africa Serikali kuendelea kuijenga barabara ya Rujewa-Madibira-Mafinga km 151.1 kwa awamu