Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatilia mada   kabla ya kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye ukumbi wa  The Super Dome , Oysterbay jijini Dar es salaam, Aprili 28, 2024. Kulia kwake ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)