Waziri Mkuu akagua basi aina ya Kayoola EVS lililotengenezwa nchini Uganda
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama basi aina ya KAYOOLA EVS lililotengenezwa nchini Uganda na kampuni ya Kiira Motors Corporation baada ya kufungua Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Uganda kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Mei 23, 2024. Kushoto ni Afisa kutoka serikali ya Uganda, Dkt. Monica Musenero. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)