Waziri Mkuu aongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Maafa ya Kitaifa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiiza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz akitoa maelezo mafupi kuhusu athari za Kimbunga Hidaya katika kikao cha kamati ya darura ya Maafa Kitaifa kilichofanyika kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2024. Kikao hicho kiliitishwa na Waziri Mkuu Share this post: Share on X (Twitter) Share on Facebook Share on Pinterest Share on LinkedIn Share on E-mail Share on WhatsApp Post navigation Waziri Mkuu: Wakuu wa mikoa simamieni mapendekezo yaliyotolewa na tume ya haki jinai. Rais Samia aagiza huduma za dharura maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Hidaya