Waziri Mkuu  wa Tanzania atoa taarifa kuhusu kimbunga Hidaya

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma taarifa kuhusu  Kimbunga Hidaya kilichotokea pwani ya bahari ya Hindi, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)